Tissue Culture Tanzania

Sanaa ya maabara ya tissue culture. Mahali ambapo miche bora isiyo na magonjwa inaenezwa kitaalamu kwa mahitaji yote ya kilimo.

Mafunzo

Kilimo, katika Vitalu & stadi za Biashara.

Uwajibikaj Kijamii

Inawapa wakulima zao bora na kipato bora

Ni kinga ya mazao yasio na magonjwa, mimea ya mizizi ya ubora mkubwa. Otesha miche ya tissue culture kama ndizi, viazi vitamu na nanasi.

Kwa maelezo zaidi nitumie email.

Tissue culture ni teknolojia inayotumika kukuza mimea isiyo na magonjwa kwa lengo la kuwapa wakulima mazao mazuri na kipato kizuri. Mazao mazuri pamoja na mafunzo na fursa ya mafunzo kuhakikisha kuna kuwa na maendeleo endelevu ya kilimo katika mikoa mbalimbali.

Kwa maelezo zaidi nitumie email.

Matokeo Tarajiwa:

  • Kuongeza uwezo wa kipato kwa wakulima wazawa.
  • Kuboresha upatikanaji wa mazao lishe ya asili kama vilendizi za kupika,muhogo and viazi.
  • Kuepuka ukataji miti.
  • Itazalisha ajira kwa wanawake katika Vitalu

Kwa maelezo zaidi nitumie email.

Kwa maelezo zaidi nitumie email.

Kwa maelezo zaidi nitumie email.

Kwa maelezo zaidi nitumie email.

Tissue culture Tanzania

Tissue culture inatoa suluhu ambayo ni rahisi kutumika. Na matokeo yake ni ya pande mbili mmea hubaki na nguvu ya kustahimili magonjwa na mimea huzalishwa kwa wingi katika muda mfupi.