Inaongeza uwezo wa kipato kwa wakulima wazawa.

Inaboresha upatikanaji wa mazao lishe ya asili kama ndizi za kupika,mhogo na viazi.

Kuepuka ukatiji miti

Itazalisha ajira kwa wanawake katika Vitalu

Matokeo ya kijami

Malengo ya maendeleo endelevu yanatupa nguvu ya kujikita katika uwajibikaji kijamii.

Tunaamini uwajibikaji kijamii na malengo ya kibiashara yanaenda pamoja katika kampuni yetu. Kwa kiasi kikubwa yanameungana. Tissue culture ni teknolojia inayotumika kukuza mazao ya kilimo isiyo na magonjwa kwa lengo la kuwapatia wakulima mazao bora na kipato bora .Inazuia ukataji miti kwa sababu ya ardhi ndogo itahitajika kwa kila mkulima kupata kipato kizuri.