Makadirio ni zaidi ya asilimia 40% katika mavuno zaidi (kwa mmea,kwa eka), huakikisha faida nzuri.

Muda wa mavuno nimiezi 10-12( ndzi ilio enezwa ni miezi 15-18).

Aina ya ndizi tunazozalisha na kusambaza.

Kanda ya ziwa: Nshakara na nyoya ni aina ya ndizi za kupika ambazo zinauzalishaji mkubwa kuliko nyingine,huzalisha mikungu mikubwa na ina vichane vingi and ndizi ndefu. Ndizi zinaliwa zikiwa mbichi, hutumika katika uokaji, tunda na nyongeza katika chakula.

Moshi/Arusha: Mchare
Moja ya aina kuu za kibiashara yenye sifa ya ukubwa na urefu wa kati. Vumilivu dhidi ya upepo, baridi kali na yenye, ina ustahimilivu dhidi ya changamoto ya maji.