Usambazaji wa vipando vyenye afya vya mimea katika muda muafaka.

Mazao Mengi

VIAZI VITAMU

Tunazalisha na kusambaza vipando salama vya viazi lishe.

Kwa nini Viazi Lishe ?
Vina vitamini A kwa wingi, ambavyo vinahitajika kwa kuongeza mfumo wakinga mwilini- Kuna kampeni kubwa inayoendeshwa na serikali ya Tanzania kuhamasisha mbogamboga zikiwa ni vyanzo vya virutubisho vya nishati,Hiki kina maanisha kuna kunaongezeko la uhitaji wa hili zao nchini na tunaweza kuzalisha zao hili kwa bei nafuu.