MAZAO

Mavuno ya Vipando vyenye ubora mkubwa utaongeza ufanisi na uzalishaji.
Mavuno bora + muda mfupi ===➔ Faida kubwa

VIAZI VITAMU

Hasa kwa viazi lishe inakuwa na faida nyingi:
– Inakiasi kikubwa cha virutubisho vinavyosaidia kuona
– Inaongeza uzalishaji
– Stahimilivu dhidi ya magonjwa ya virusi vya viazi vitamu

Read More »

Aina ya ndizi tunazozalisha na kusambaza.

Teknolojia yetu inazalisha miche isiyo na vimelea vya magonjwa na vipando vyenye ubora kwa ajili ya wakulima. Kila hekta inahitaji miche 2000,ambayo in rahisi na haraka kuzalishwa katika maabara yetu ya uzalishaji wa miche million 5 kwa mwaka.