Mafunzo mazuri hupelekea mendeleo endelevu.

Inawapa wakulima zao bora na kipato bora

Mafunzo

Mafunzo ya kugumuisha mazao ya tissue culture.

Wakulima/wenye vitalu vidogo wataweza kufunzwa kila mwaka namna ya kugumuisha mazao ya tissue culture kwa Kiswahili. Watapokea mazao yaliyoko katika chupa kutoka kwenye vitalu vya Miti Mingi ltd,na watayakuza mpaka yawe tayari kwa kuuzwa kwawakulima kama vipando .

Mafunzo katika Vitalu

Mafunzo ya kilimo shambani yanaweza kuzalisha aina mpya ya wajasiriamali wenye uwezo wa kuendesha vitalu vyao kwa faida na katika namna ya uendelevu.