Tunachokifanya

Mimea ya Tissue Culture, Maafunzo & huduma za ziada.

Miti Mingi Nurseries- www.mitimingi.co.tz _ Ni kampuni mama ya Maua Mazuri.Chimbuko lake ni katika miteremko ya mlima Kilimanjaro, kijiji cha Mbosho mahali ambapo watu wanaojitoa kutoka katika vijiji vya jirani wanasaidia kunatunza mimea, kuotesha, kuwatika, kugumuisha na kulea mimea midogo na miche ya miti. Maua Mazuri inatoa huduma za aina tatu.

Mimea ya Tissue culture:
Katika hali ya sanaa ya maabara ya tissue culture na kusambazwa kutokea kwenye vitalu vyetuni yenye Ubora mzuri kuliko ile mimea ya kawaida.Tunauwezo wa kuzalisha miche million 5 kwa mwaka pasipo kujali hali ya hewa ,tunaweza kuzalisha na kusafirisha mimea kwa wakati.

Mafunzo:
Tunatoa mafunzo mazuri and fursa za mafunzo. Kwa kujumisha pamoja na
Mazao bora, tuna hakikisha kuwa na maenedeleo endelevu ya kilimo katika mikoa mbalimbali.

Huduma za ziada:
Pia tunatoa maandalizi ya shamba,upembuzi wa maabara na uzalishaji wa mkataba.