Tunaamini kufanya kazi kwa pamoja,ushirika mzuri na ushirikiano wa kunufaishana pande zote.

Njoo pamoja;Mashirika yasiyo ya kiserikali, wawekezaji, vyuo, wa ndani, vituo vya tafiti, kimataifa.

Ushirikiano

Kampuni yetu inapenda kupata na ushirikiano na/ ushirika:

 • Vyuo:
  Wa ndani na tafiti za maendeleo ya tissue culture.
 • Taasisi zisizo zakiserikali
  Kusaidia kufikisha mazao yasiyo ya magonjwa ,ya mimea na mazao ya mizizi yenye ubora mkubwa na mafunzo kwa wakulima wazawa.
 • Wawekezaji
  Mitimingi Nurseries Ltd. Wanahisa wana wekeza mbeleni.
  i)Imewekeza Euro 250,000katika maabara ya Tissue culture , Maua mazuri

Kwa awamu inayofuata, bado tunahitaji kuungwa mkono:

 • Kuanzishwa mtandao wa vitalu vitano ndani ya Tanzania vitakavyohusika katika kukuza mimea hii isiyo na magonjwa.
 • Kuwafunza na kuwaendeleza waajasiriamali watakaokuwa wamechaguliwa kuendesha hivi vitalu kwa lengo la kuwaongoza katika kujiendeleza na/ kwa kutengeneza soko la wakulima wazawa.

Mradi , utaendeshwa kibiashara utakuwa na rejesho la faida ya haraka, kwa wakati huo huo ukiwa na matokeo makubwa wakiwa wakulima na waoteshaji wa Tanzania wakijiandaa kwa siku za mbele.

Ikiwa ungependa kushirikiana nasi kwa namna yoyote ile, tafadhari wasiliana na Jan Harm Beukema, Director Miti Mingi Nurseries Ltd. info@mitimingi.co.tz

Washirika Tulionao: